Mama Fua Kenya – Laundry & Cleaning Services Near You
Karibu Soko Mashinani, mahali ambapo watu wanaopiga hustle hukutana na fursa.
Tafuta Mama Fua karibu na wewe kwa huduma za kuosha nguo, kupiga deki, na usafi wa jumla nyumbani au ofisini.
Huduma Zinazotolewa na Mama Fua
- 🧺 Kuosha nguo kwa mkono au machine
- 🧹 Kufagia na kusafisha nyumba nzima
- 🧼 Usafi wa vyoo na mabafu
- 🛏️ Kutandika vitanda na kupiga pasi nguo
- 🏠 Huduma za muda mfupi au za mkataba
Wauzaji wa huduma wanaweza kutangaza bure katika Soko Mashinani na wanunuzi wanaweza kuwasiliana moja kwa moja na Mama Fua wa eneo lako.
Bei za Huduma Kenya
- Mama Fua – KES 500 – 1,000 kwa siku (majumbani)
- Cleaning Services – KES 1,000 – 3,000 kwa kazi kubwa
- Ofisi Cleaning Contracts – Kwa Makubaliano
Kwa Nini Kuchagua Soko Mashinani?
- ✅ Tangaza huduma bure bila malipo
- ✅ Pata Mama Fua aliye karibu na wewe haraka
- ✅ Wasiliana moja kwa moja na mteja au mtoa huduma
- ✅ Tovuti rahisi kutumia kwa simu na kompyuta
Piga Hustle, Pata Deal! Unganisha na wateja leo kupitia
Soko Mashinani – Home of Kenya’s Real Hustlers.