Milango ya Chuma na Mbao Kenya – Doors for Sale
Karibu Soko Mashinani – mahali pa kuuza na kununua milango ya nyumba ya aina zote:
milango ya chuma, milango ya mbao, na security doors kwa ofisi au nyumba.
Wauzaji wanaweza kutangaza bure na wanunuzi hupata milango ya ubora wa juu kutoka kwa mafundi na viwanda vya ndani.
Aina za Milango Unazoweza Kupata
- 🚪 Milango ya Chuma – kwa usalama na uimara
- 🚪 Milango ya Mbao – ya kupendeza kwa nyumba za kifahari
- 🚪 Security Doors – kwa ofisi na majengo ya biashara
- 🚪 Milango ya Miti Migumu (Hardwood Doors)
Bei za Milango Kenya
- Milango ya chuma – KES 5,000 – 12,000
- Milango ya mbao – KES 6,500 – 15,000
- Security doors – KES 12,000 – 25,000
Bei zinategemea ukubwa, aina ya mlango, na design. Wauzaji wengi hutoa punguzo kwa order ya milango mingi.
Angalia pia Mabati ya Kuuza na vifaa vingine vya ujenzi.
Kwa Nini Kuchagua Soko Mashinani?
- ✅ Tangaza bure bila malipo yoyote
- ✅ Wafikie wanunuzi kutoka maeneo yote ya Kenya
- ✅ Huduma salama, rahisi kutumia, na inayotegemewa
- ✅ Inapatikana kwa simu na kompyuta
Piga Hustle, Pata Deal! Tangaza sasa katika
Soko Mashinani – Classified Marketplace ya Wakenya halisi.